0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

828. Riyadhu Swalihina Mlango Wa nidhamu za Majilisi na anaeketi

باب في آداب المجلس والجليس


وعن أَبي عبدِ الله سَلْمان الفارِسي رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لاَ يَغْتَسِلُ رَجُلٌ يَوْمَ الجُمُعة وَيَتَطهّرُ مَا اسْتَطاعَ منْ طُهر وَيدَّهنُ منْ دُهْنِهِ أوْ يَمسُّ مِنْ طِيب بَيْته ثُمَّ يَخْرُجُ فَلاَ يُفَرِّقُ بَيْنَ اثْنينْ ثُمَّ يُصَلّي ما كُتِبَ له ُ ثُمَّ يُنْصِتُ إذَا تَكَلَّمَ الإمامُ إِلاَّ غُفِرَ لهُ مَا بَيْنَهُ وَبَيَْن الجمُعَةِ الأُخْرَى”    رواه البخاري.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI


Imepokewa na Abû ‘Abdillah, Salmân al-Fârisy (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Atakayeoga siku ya Ijumaa, akajitwahirisha kiasi awezavyo, akajipaka mafuta yake au akajitia manukato ya nyumbani mwake, kisha akatoka wala asifarikishe baina ya watu wawili (kwa kuziruka shingo zao Msikitini), kisha akaswali kiasi alivyojaaliwa, kisha akapulika imamu anapozungumza, basi atasamehewa baina yake na Ijumaa nyingine.”  [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.