0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

808. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kuvaa Hariri Kwa Wanaume Na Uharamu Wa Kuketi Juu Yake Na Kuegemea Na Kufaa Kuvaliwa Na Wanawake.

باب تحريم لباس الحرير عَلَى الرجال وتحريم جلوسهم عَلَيْهِ واستنادهم إِلَيْهِ وجواز لبسه للنساء


وعن أَبي مُوسى الأشْعريِّ رضي اللَّه عنه أنَّ رسُولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “حُرِّم لِبَاسُ الحَرِيرِ وَالذَّهَب عَلَى ذُكُورِ أُمَّتي، وَأُحلَّ لإنَاثِهِم

رواهُ الترمذي وقال حديثٌ حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE


Imepokewa na Abû Mûsâ al-Ash‘ary (Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea kuwa Mtume amesema: “Limeharamishwa vazi la hariri na dhahabu kwa wanaume wa umati zangu, na limehalalishwa kwa wanawake wao.”  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.