0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

740. Riyadhu Swalihina Mlango wa Mtu kula kilicho mbele yake pamoja na kumpa Mawaidha na kumfundisha nidhamu njema asiekula vizuri

باب الأكل مِمَّا يليه ووعظه وتأديبه من يسيء أكله


 وعن سلمةَ بن الأَكْوَع – رضي الله عنه -: أنَّ رَجُلاً أَكَلَ عِنْدَ رَسُولِ الله – صلى الله عليه وسلم – بِشِمَالِهِ، فَقَالَ: { كُلْ بِيَمِينِكَ} قَالَ: لا أسْتَطِيعُ. قَالَ: { لاَ اسْتَطَعْتَ} ! مَا مَنَعَهُ إِلاَّ الكِبْرُ ! فَمَا رَفَعَهَا إِلَى فِيهِ.     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Salamah bin al-Akwa’ (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtu mmoja alikula mbele ya Mtume (ﷺ) kwa mkono wake wa kushoto. (Mtume ﷺ) akamwambia: “Kula kwa mkono wako wa kulia.” Yule mtu akasema: “Siwezi!” (Mtume) akamwambia: “Mwana kutoweza!” Hakuna kilichomzuwia ispokuwa ni kibri. Basi hakuweza tena kuinua mkono wake hadi mdomoni mwake.  [ Imepokewa na Muslim] 


Begin typing your search above and press return to search.