0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

731. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kupiga Bismillahi Mwanzo Na Kumuhimidi Mwisho.

باب التسمية في أوله والحمد في آخره


وعن أُمَيَّةَ بن مَخْشِيٍّ الصحابيِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – جَالِسَاً، وَرَجُلٌ يَأكُلُ، فَلَمْ يُسَمِّ اللهَ حَتَّى لَمْ يَبْقَ مِنْ طَعَامِهِ إِلاَّ لُقْمَةٌ، فَلَمَّا رَفَعَهَا إِلَى فِيهِ، قَالَ: بِسْمِ اللهِ أوَّلَهُ وَآخِرَهُ، فَضَحِكَ النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، ثُمَّ قَالَ: { مَا زَالَ الشَّيْطَانُ يَأكُلُ مَعَهُ، فَلَمَّا ذَكَرَ اسمَ اللهِ اسْتَقَاءَ مَا فِي بَطْنِهِ}     رواه أَبُو داود والنسائي


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Umayyah bin Makhshiyy (Radhi za Allah ziwe juu yake) ambaye ni Swahaba, amesema: “Mtume (ﷺ) alikuwa ameketi, na mtu fulani anakula, wala hakutaja Jina la Allâh mpaka lilipobakia tonge moja la chakula chake, alipoliinuwa kinywani mwake, alisema: “Bismillâhi awwalahû wa âkhirahû [Kwa Jina la Allâh mwanzo na mwisho wake].” Mtume (ﷺ) akacheka, na akasema: “Shetani alikuwa akila naye, alipotaja Jina la Allâh (shetani) alitapika vyote vilivyokuwa tumboni mwake.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na an-Nasâ-î.]


Begin typing your search above and press return to search.