October 10, 2023
0 Comments
باب استحباب تقديم اليمين في كل مَا هو من باب التكريم
وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم – يُعْجِبُهُ التَّيَمُّنُ في شَأنِهِ كُلِّهِ: في طُهُورِهِ، وَتَرَجُّلِهِ، وَتَنَعُّلِهِ. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa na Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume (ﷺ) alikuwa akipendezewa kutumia upande wa kulia katika mambo yake yote; katika kutawadha kwake, kuchana kwake na kuvaa kwake viatu.” Muttafaq. [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]