0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

719. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kwenda katika Swala ya Idi, Kumzuru mgonjwa, kwenda Hajj, kupigana Jihadi, Kusindikiza jeneza na mfano wa hayo….

باب استحباب الذهاب إِلَى العيد وعيادة المريض والحج والغزو والجنازة ونحوها من طريق، والرجوع من طريق آخر لتكثير مواضع العبادة


وعن ابن عُمَرَ – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – كَانَ يَخْرُجُ مِنْ طَريق الشَّجَرَةِ، وَيَدْخُلُ مِنْ طَريقِ الْمُعَرَّسِ، وَإِذَا دَخَلَ مَكَّةَ، دَخَلَ مِن الثَّنِيَّةِ الْعُلْيَا، وَيَخْرُجُ مِنَ الثَّنِيَّةِ السُّفْلَى.     متفقٌ عَلَيْهِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia kuwa Mtume (ﷺ) alikuwa akitoka katika njia ya ash-Shajarah na akiingia kwa njia ya al-Mu‘arris. Anapoingia Makkah, huingia kwa njia ya ath-Thaniyyatul-‘ulyâ na akitoka kwa ath-Thaniyyatussuflâ.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.