0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

701. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutoa Waadhi Na Kufanya Wastani Katika Kuedhea.

بابُ الوَعظ والاقتصاد فِيهِ


 وعن العِرْباض بن ساريَةَ – رضي الله عنه -، قَالَ: وَعَظَنَا رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَوْعِظَةً وَجِلَتْ مِنْهَا القُلُوبُ، وَذَرَفَتْ مِنْهَا العُيُونُ… وَذَكَرَ الحَدِيثَ وَقَدْ سَبَقَ بِكَمَالِهِ في باب الأمْر بِالمُحَافَظَةِ عَلَى السُّنَّة، وَذَكَرْنَا أنَّ التَّرْمِذِيَّ، قَالَ:  {إنّه حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Al-‘Irbâdh bin Sâriyah (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume (ﷺ) alitupa mawaidha mazito (yenye maana makubwa), nyoyo zikaogopa na macho yakabubujikwa machozi…” akaitaja Hadîth, na imetangulia kwa ukamilifu wake katika Mlango wa Maamrisho ya Kuzihifadhi Sunna na Adabu Zake. [Tazama Hadîth ya 157].

Na tukaeleza kwamba Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.


Begin typing your search above and press return to search.