0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

698. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutoa Waadhi na kufanya wastani katika kuedhea.

بابُ الوَعظ والاقتصاد فِيهِ


وعن أَبي وائلٍ شقيقِ بن سَلَمَةَ، قَالَ: كَانَ ابنُ مَسْعُودٍ – رضي الله عنه – يُذَكِّرُنَا في كُلِّ خَمِيسٍ، فَقَالَ لَهُ رَجُلٌ: يَا أَبَا عَبْدِ الرَّحْمانِ، لَوَدِدْتُ أنَّكَ ذَكَّرْتَنَا كُلَّ يَوْمٍ، فَقَالَ: أمَا إنَّهُ يَمْنَعُنِي مِنْ ذَلِكَ أنَّي أكْرَهُ أنْ أُمِلَّكُمْ، وَإنِّي أتَخَوَّلُكُمْ بِالْمَوْعِظَةِ، كَمَا كَانَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – يَتَخَوَّلُنَا بِهَا مَخَافَةَ السَّآمَةِ عَلَيْنَا.       متفقٌ عَلَيْهِ

{يَتَخَوَّلُنَا}: يَتَعَهَّدُنَا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Abû Wâ-il, Shaqîq bin Salamah amesema: “‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) alikuwa akitupa mawaidha kila siku ya Alkhamisi. Mtu mmoja akamwambia: “Natamani lau unatupa mawaidha kila siku.” Akasema: “Ama linalonikarahisha kufanya hivyo ni kwamba nachukia nisije nikawachokesha, nami nawachunga katika kuwapa mawaidha kama alivyokuwa Mtume ﷺ akituchunga kwa mawaidha kwa kutuchelea tusije tukachoka.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.