0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

689. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutekeleza Ahadi Na Miadi

باب الوفاء بالعهد وَإنجاز الوَعد


وعن عبد الله بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {أرْبَعٌ مَنْ كُنَّ فِيهِ كَانَ مُنَافِقاً خَالِصاً، وَمَنْ كَانَتْ فِيهِ خَصْلَةٌ مِنْهُنَّ كَانَتْ فِيهِ خَصْلَةٌ مِنَ النِّفَاقِ حَتَّى يَدَعَهَا: إِذَا اؤْتُمِنَ خَانَ، وَإِذَا حَدَّثَ كَذَبَ، وَإِذَا عَاهَدَ غَدَرَ، وَإِذَا خَاصَمَ فَجَرَ}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume (ﷺ) amesema: “Mambo manne mwenye kuwa nayo atakuwa ni mnafiki safi, na atakayekuwa ana mojawapo katika hayo, atakuwa ana jambo moja katika unafiki mpaka aliache; anapoaminiwa hukhini, akizungumza husema uwongo, akiahidi huvunja na akiteta hufanya ubaya.”      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.