0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

675. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Makatazo Ya Kuomba Uongozi Na Kuhiyari Kuacha Utawala….

باب النهي عن سؤال الإمارة واختيار ترك الولايات إذا لَمْ يتعين عليه أَوْ تَدْعُ حاجة إِلَيْهِ


وعن أَبي ذرٍّ – رضي الله عنه، قَالَ: قُلْتُ: يَا رسول الله، ألا تَسْتَعْمِلُني؟ فَضَرَبَ بِيَدِهِ عَلَى مَنْكِبي، ثُمَّ قَالَ: { يَا أَبَا ذَرٍّ، إنَّكَ ضَعِيفٌ، وإنّها أمانةٌ، وَإنَّهَا يَوْمَ الْقِيَامَةِ خِزْيٌ وَنَدَامَةٌ، إِلاَّ مَنْ أخَذَهَا بِحَقِّهَا، وَأدَّى الَّذِي عَلَيْهِ فِيهَا}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Dharri (Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimwambia Mtume (ﷺ): “Waonaje ukanifanya kiongozi?” Akalipiga bega langu kwa mkono wake, kisha akaniambia: “Ee Abû Dharri, wewe ni dhaifu, nao (uongozi) ni amana, na hakika (amana hiyo) ni hizaya na majuto Siku ya Qiyama, ila alieichukua kwa haki yake, na akalitekeleza linalompasa ndani yake.”    [ Imepokewa na Muslim].

Begin typing your search above and press return to search.