0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

75. MLANGO WA KUSAMEHE NA KUWAEPUKA MAJAHILI.

باب العفو والإعراض عن الجاهلين


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿خُذِ الْعَفْوَ وَأْمُرْ بِالعُرْفِ وَأَعْرِضْ عَنِ الْجَاهِلينَ﴾ [ الأعراف: 199 ]

وقال تَعَالَى: ﴿فَاصْفَحِ الصَّفْحَ الْجَمِيلَ﴾ [ الحجر: 85 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَلْيَعْفُوا وَلْيَصْفَحُوا ألاَ تُحِبُّونَ أنْ يَغْفِرَ اللهُ لَكُمْ﴾ [ النور: 22 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَالْعَافِينَ عَنِ النَّاسِ وَاللهُ يُحِبُّ الْمُحْسِنينَ﴾ [ آل عمران: 134 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَلَمَنْ صَبَرَ وَغَفَرَ إنَّ ذَلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الأُمُورِ﴾ [ الشورى: 43 ]

والآيات في الباب كثيرة معلومة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



75. MLANGO WA KUSAMEHE NA KUWAEPUKA MAJAHILI.


Mwenyezi Mungu Amesema: “Shikamana na kusamehe, na amrisha mema, na jitenge na majahili.” [7:199].  

Mwenyezi Mungu Amesema:“Basi msamehe msamaha mzuri (kila anayekufanyia ubaya; malipo yenu mtayakuta huko Akhira).”  [15:85].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na wasamehe, na waachilie mbali. Je! Nyinyi hampendi Allâh Awasamehe?”  [24:22].

Mwenyezi Mungu Amesema“Na wasamehevu kwa watu, na Allâh Huwapenda wafanyao mema.” [3:134].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na anayesubiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.”  [42:43].

Na Aya zinazoeleza mambo haya ni nyingi, mashuhuri.


Begin typing your search above and press return to search.