0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

621. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Tabia Njema.

 باب تحريم الكبر والإعجاب


 وعن أنس – رضي الله عنه قال: كَانَ رسولُ الله – صلى الله عوعنه، قَالَ: مَا مَسِسْتُ دِيبَاجاً وَلاَ حَرِيراً ألْيَنَ مِنْ كَفِّ رسولِ اللهِ – صلى الله عليه وسلم -، وَلاَ شَمَمْتُ رَائِحَةً قَطُّ أطْيَبَ مِنْ رَائِحَةِ رسولِ اللهِ – صلى الله عليه وسلم -، وَلَقَدْ خدمتُ رسول اللهِ – صلى الله عليه وسلم – عَشْرَ سنين، فما قَالَ لي قَطُّ: أُفٍّ، وَلاَ قَالَ لِشَيءٍ فَعَلْتُهُ: لِمَ فَعَلْتَه؟ وَلاَ لشَيءٍ لَمْ أفعله: ألاَ فَعَلْتَ كَذا؟ متفقٌ عَلَيْهِ.ليه وسلم – أحْسَنَ النَّاس خُلُقاً.     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) ameeleza: “Sijagusapo hariri nzito wala nyepesi ilio laini kama kiganja cha Mtume , wala sijanusapo harufu katu iliokuwa nzuri kama harufu ya Mtume . Hakika nimemhudumikia Mtume miaka kumi, hakuwahi katu kunambia neno la kuonyesha uchovu, wala hakunambia katika jambo nililolifanya “kwa nini umefanya?” wala katika jambo ambalo sikulifanya “mbona hukufanya kadhaa?”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.