باب فضل الاختلاط بالناس وحضور جُمَعِهم وجماعاتهم، ومشاهد الخير، ومجالس الذكر معهم، وعيادة مريضهم، وحضور جنائزهم، ومواساة محتاجهم، وإرشاد جاهلهم، وغير ذلك من مصالحهم لمن قدر عَلَى الأمر بالمعروف والنهي عن المنكر، وقمع نفسه عن الإيذاء وصبر عَلَى الأذى
اعْلم أنَّ الاختلاط بالنَّاسِ عَلَى الوجهِ الَّذِي ذَكَرْتُهُ هُوَ المختارُ الَّذِي كَانَ عَلَيْهِ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – وسائر الأنبياء صلواتُ اللهِ وسلامه عَلَيْهِمْ، وكذلك الخُلفاءُ الرَّاشدون، ومن بعدَهُم مِنَ الصَّحَابَةِ وَالتَّابِعِينَ، ومن بَعدَهُم من عُلَماءِ المُسلمين وأَخْيَارِهم، وَهُوَ مَذْهَبُ أكثَرِ التَّابِعينَ وَمَنْ بَعدَهُمْ، وبه قَالَ الشافعيُّ وأحمدُ وأكثَرُ الفقهاءِ رضي اللهُ عنهم أجمعين. قَالَ اللهُ تَعَالَى: ﴿وَتَعَاوَنُوا عَلَى البِرِّ وَالتَّقْوَى﴾ [ المائدة: 20 ] والآيات في معنى مَا ذكرته كثيرة معلومة
70. MLANGO WA FADHILA YA KUTANGAMANA NA WATU, KUHUDHURIA SWALA ZAO ZA IJUMAA NA JAMAA, HAFLA ZA KHERI, VIKAO VYA DHIKRI PAMOJA NAO, KUMZURU MGONJWA MIONGONI MWAO, KUHUDHURIA SWALA ZAO ZA JENEZA, KUWAFARIJI WENYE HAJA, KUMWONGOZA MJINGA NA MENGINEYO KATIKA MASLAHI YAO KWA ANAYEWEZA KUAMRISHA MEMA NA KUKATAZA MABAYA, KUIZIMA NAFSI YAKE KUTOWAUDHI WATU NA KUSUBIRI JUU YA ADHA
Jueni kuwa kuchanganyika na watu kwa namna niliyoitaja ndivyo iliyochaguliwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu – ﷺ na Mitume wote, Rehema na amani ziwe juu yao, na Makhalifa waongofu, na Maswahabah baada yao, na Taabi’iyn, na walio kuja baada yao miongoni mwa wanazuoni wa Kiislamu na bora katika wao. , na huu ndio msimamo wa wengi katika Taabi’in na ndio Madhhabu ya Imam Al-Shafi’i na Ahmad na Fuqahaa wengi Mwenyezi Mungu awe radhi nao wote.
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Na saidianeni katika wema na uchamngu.} [Al-Maa’idah: 20]
Na Aya katika maana ya niliyotaja ni nyingi na zinajulikana.