July 19, 2023
0 Comments
باب الورع وترك الشبهات
وعن الحسن بن علي – رضي الله عنهما -، قَالَ: حَفِظتُ من رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { دَعْ مَا يريبُكَ إِلَى ما لاَ يَرِيبُكَ} رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}
معناه: اتْرُكْ مَا تَشُكُّ فِيهِ، وَخُذْ مَا لاَ تَشُكُّ فِيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)
Imepokewa kutoka kwa Al-Hasan bin ‘Alî (bin Abîtâlib) (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Nimehifadhi kutoka kwa Mtume ﷺ maneno haya: “Acha linalokutia shaka ulifanye lisilokutia shaka.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema Hadîth hii ni Sahîh. ]