0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

582. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sunna ya kuzuru Makaburi kwa Wanaume na yanayosemwa na mwenye kuzuru.

باب استحباب زيارة القبور للرجال وما يقوله الزائر


 وعن بريدة – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَ النبيُّ – صلى الله عليه وسلم – يُعَلِّمُهُمْ إِذَا خَرَجُوا إِلَى المَقَابِرِ أنْ يَقُولَ قَائِلُهُمْ: { السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ أهلَ الدِّيَارِ مِنَ المُؤْمِنينَ وَالمُسلمينَ، وَإنَّا إنْ شَاءَ اللهُ بِكُمْ للاَحِقونَ، أسْألُ اللهَ لَنَا وَلَكُمُ العَافِيَةَ}              رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



66. MLANGO WA SUNNAH YA KUZURU MAKABURI KWA WANAUME NA YANAYOSEMWA NA MWENYE KUZURU


Imepokewa kutoka kwa Buraidah (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume alikuwa akiwajulisha wanapoenda makaburini msemaji wao aseme: Assalâmu ‘alaikum ahladdiyâr minalmu’minîna walmuslimîn, wa innâ inshâ-allâhu bikum lâhiqûn, as-alullâha lanâ walakumul‘âfiyah.” [Amani iwe juu yenu enyi watu wa nyumba miongoni mwa Waumini na Waislamu, nasi – Allâh Akipenda – tutakutana nanyi. Namuomba Allâh Atughufirie sisi na nyinyi].       [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.