0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

61. MLANGO WA MAKATAZO YA UBAKHILI NA UCHOYO.

 باب النهي عن البخل والشح


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَأَمَا مَنْ بَخِلَ وَاسْتَغْنَى وَكَذَّبَ بِالحُسْنَى فَسَنُيَسِّرُهُ لِلْعُسْرَى وَمَا يُغْنِي عَنْهُ مَالُهُ إِذَا تَرَدَّى﴾ [ الليل: 8-11 ]، 

وقال تَعَالَى:﴿وَمَنْ يُوقَ شُحَّ نَفسِهِ فَأولَئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ﴾ [ التغابن: 16 ]

وأما الأحاديث فتقدمت جملة مِنْهَا في الباب السابق


شرح الحديث على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



61. MLANGO WA MAKATAZO YA UBAKHILI NA UCHOYO.


Mwenyezi Mungu Amesema: “Na afanyaye ubakhili, asiwe na haja ya viumbe wenzake. Na akakadhibisha mambo mema (asiyafanye). Tutamrahisishia njia ya kwenda motoni. Na mali yake hayatamfaa atakapokuwa anadidimia (motoni humo).” [92:8-11].

Mwenyezi Mungu Amesema: “Na wenye kuepushwa na ubakhili wa nafsi zao, hao ndio wenye kufaulu.” [64:16].


Begin typing your search above and press return to search.