0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

536. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiya Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لَيْسَ المسكينُ الَّذِي يَطُوفُ عَلَى النَّاسِ تَرُدُّهُ اللُّقْمَةُ وَاللُّقْمَتَانِ، وَالتَّمْرَةُ وَالتَّمْرَتَانِ، وَلكِنَّ المِسكينَ الَّذِي لاَ يَجِدُ غِنىً يُغْنِيهِ، وَلاَ يُفْطَنُ لَهُ فَيُتَصَدَّقُ عَلَيْهِ، وَلاَ يَقُومُ فَيَسْألَ النَّاسَ}     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: ‘Mtume   amesema: “Masikini si yule anaewazungukia watu akatosheka kwa tonge moja au mbili, tende moja au mbili, lakini masikini ni yule asiepata cha kumtosheleza, wala hakuna anaemjua ili ampe sadaka na wala hasimami akaomba watu.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim].

Begin typing your search above and press return to search.