0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

531. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiya Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { مَنْ سَألَ النَّاسَ تَكَثُّراً فإنَّمَا يَسْألُ جَمْراً؛ فَلْيَسْتَقِلَّ أَوْ لِيَسْتَكْثِرْ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ  amesema: “Mwenye kuomba watu kwa ajili ya kujizidishia (mali), hakika yuwaomba kaa la moto; basi apunguze (kuomba) au azidishe!”     [ Imepokewa na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.