0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

530. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiyz Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – قَالَ وَهُوَ عَلَى المِنْبَرِ، وَذَكَرَ الصَّدَقَةَ وَالتَّعَفُّفَ عَنِ الْمَسْأَلَةِ: { اليَدُ العُلْيَا خَيْرٌ مِنَ اليَدِ السُّفْلَى، وَاليَدُ العُلْيَا هِيَ المُنْفِقَةُ، وَالسُّفْلَى هِيَ السَّائِلَةُ}    متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema:  akiwa juu ya mimbari, akataja sadaka na mtu kuacha kuomba: “Mkono ulio juu ni bora kuliko mkono ulio chini, mkono ulio juu ni ule wenye kutoa, na mkono ulio chini ni wenye kuomba.”      [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.