0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

521. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, kujizuiyz kuomba kufanya iktisadi katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


عن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لَيْسَ الغِنَى عَن كَثرَةِ العَرَض، وَلكِنَّ الغِنَى غِنَى النَّفْسِ}   متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yao) amepokea kutoka kwa Mtume kuwa amesema: “Utajiri si kuwa na mali nyingi, lakini utajiri ni utajiri wa nafsi.”  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.