0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

509. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن أَبي أُمَامَة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {يَا ابْنَ آدَمَ، إنَّكَ أنْ تَبْذُلَ الفَضْلَ خَيرٌ لَكَ، وَأنْ تُمسِكَهُ شَرٌ لَكَ، ولاَ تُلاَمُ عَلَى كَفَافٍ، وَابْدأ بِمَنْ تَعُولُ}    رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Umâma (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Ee mwanadamu, hakika wewe ukitoa kilichozidi ni bora kwako, na ukikizuwia ni shari kwako, wala hutalaumiwa kwa kuzuwia kiasi cha haja, na uanze kuwapa wanaokutegemea.”      [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.