0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

499. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


 وعن سعد بن أَبي وقاص – رضي الله عنه -، قَالَ: إنِّي لأَوَّلُ الْعَرَبِ رَمَى بِسَهْمٍ في سَبِيلِ الله، وَلَقَدْ كُنَّا نَغْزُو مَعَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – مَا لَنَا طَعَامٌ إِلاَّ وَرَقُ الْحُبْلَةِ، وَهذَا السَّمُرُ، حَتَّى إنْ كَانَ أحَدُنَا لَيَضَعُ كَمَا تَضَعُ الشَّاةُ مَا لَهُ خَلْطٌ.     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Sa’d bin Abî Waqqâs (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mimi ndiye Mwarabu wa kwanza alierusha mshale katika Njia ya Allâh, hakika tulikuwa tukipigana pamoja na Mtume ﷺ na hatukuwa tuna chakula ila majani ya miti yenye miba na mti huu wa samar (wa porini), hata mmoja kati yetu alikuwa akienda choo kikavu kama choo cha mbuzi.”    [Wameafikiana Bukhari na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.