0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

484. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن كعب بن مالك – رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَا ذِئْبَانِ جَائِعَانِ أُرْسِلا في غَنَمٍ بِأفْسَدَ لَهَا مِنْ حِرْصِ المَرْءِ عَلَى المَالِ وَالشَّرَفِ لِدِينهِ}     رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Ka’b bin Mâlik (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Mbwamwitu wawili wenye njaa waliotumwa kwenye kundi la mbuzi, hawaleti madhara zaidi kuliko madhara ya tamaa ya mtu katika mali na cheo katika kuharibu Dini yake.]    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.