0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

475. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن خَبابِ بن الأَرَتِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: هَاجَرْنَا مَعَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – نَلْتَمِسُ وَجْهَ اللهِ تَعَالَى، فَوَقَعَ أجْرُنَا عَلَى اللهِ، فَمِنَّا مَنْ مَاتَ وَلَمْ يَأكُل منْ أجْرِهِ شَيْئاً، مِنْهُمْ: مُصْعَبُ بن عُمَيْرٍ – رضي الله عنه -، قُتِلَ يَوْمَ أُحُد، وَتَرَكَ نَمِرَةً، فَكُنَّا إِذَا غَطَّيْنَا بِهَا رَأْسَهُ، بَدَتْ رِجْلاَهُ، وَإِذَا غَطَّيْنَا بِهَا رِجْلَيْهِ، بَدَا رَأسُهُ، فَأمَرَنَا رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، أنْ نُغَطِّي رَأسَهُ، وَنَجْعَل عَلَى رِجْلَيْهِ شَيْئاً مِنَ الإذْخِرِ، وَمِنَّا مَنْ أيْنَعَتْ لَهُ ثَمَرَتُهُ، فَهُوَ يَهْدِبُهَا.      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Khabbâb bin al-Aratti (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Tulihama pamoja na Mtume ﷺ tukitaka Radhi ya Allâh, tukapata ujira wetu kwa Allâh, miongoni mwetu muna aliyekufa wala hakula chochote katika ujira wake, akiwemo Mus‘ab bin ‘Umair (Radhi za Allah ziwe juu yake) , aliuliwa katika Vita vya Uhud, na akaacha shuka, tukawa tunapomfunika kichwa chake, miguu yake huonekana, tukimfunika miguu, kichwa huonekana. Mtume ﷺ akatuamuru tumfunike kichwa chake na miguuni mwake tuweke kitu katika idhkhir (ni mti wenye fito nyembamba na harufu nzuri). Na miongoni mwetu kuna ambao matunda yao yamewiva, kwa hivyo wanayachuma.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim .]


Begin typing your search above and press return to search.