0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

471. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


وعن أَبي العباس سهل بن سعد الساعدي – رضي الله عنه -، قَالَ: جَاءَ رَجُلٌ إِلَى النبي – صلى الله عليه وسلم -، فقال: يَا رسولَ الله، دُلَّنِي عَلَى عَمَلٍ إِذَا عَمِلْتُهُ أحَبَّنِي اللهُ وَأحَبَّنِي النَّاسُ، فقال: {ازْهَدْ في الدُّنْيَا يُحِبّك اللهُ، وَازْهَدْ فِيمَا عِنْدَ النَّاسِ يُحِبّك النَّاسُ}   حديث حسن رواه ابن ماجه وغيره بأسانيد حسنة

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abul-‘Abbâs, Sahli bin Sa’d as-Sâ‘idy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Alikuja mtu kwa Mtume , akamwambia: “Yâ Rasûlallâh, nijulishe amali ambayo nikiifanya Allâh Atanipenda na watu pia watanipenda.” Akamwambia: “Ipe mgongo dunia, Allâh Atakupenda, na uvipe mgongo vilivyomo kwa watu, watu watakupenda.]    [ Imepokewa na Ibni Mâjah na wengineo wameipokea kwa isnadi Hasan .]


Begin typing your search above and press return to search.