0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

437. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن أَبي موسى – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إنَّ الله تَعَالَى يَبْسُطُ يَدَهُ باللَّيلِ ليَتُوبَ مُسِيءُ النَّهَارِ، وَيَبْسُطُ يَدَهُ بالنَّهَارِ لِيَتُوبَ مُسِيءُ اللَّيلِ، حَتَّى تَطلُعَ الشَّمْسُ مِنْ مَغْرِبِهَا}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Mûsa (Radhi zaAllah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume   amesema: [ Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Huunyoosha Mkono Wake usiku ili atubie aliekosea mchana, na Hunyoosha Mkono Wake mchana ili atubie aliekosa usiku, (hali hiyo huendelea) mpaka jua litapochomoza upande wa magharibi.]  [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.