0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

400. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu

 باب الخوف


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {يَقُومُ النَّاس لِرَبِّ العَالَمينَ حَتَّى يَغِيبَ أحَدُهُمْ في رَشْحِهِ إِلَى أنْصَافِ أُذُنَيهِ}     مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

وَ{الرَّشْحُ}: العَرَقُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [ Watu (watafufuliwa na) wasimame mbele ya Mola wa viumbe mpaka mmoja wao azame katika jasho lake hadi katikati ya masikio yake. ]  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.