0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

397. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu

 باب الخوف


عن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ : قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {يُؤتَى بِجَهَنَّمَ يَومَئذٍ لَهَا سَبْعُونَ ألفَ زِمَامٍ، مَعَ كُلِّ زِمَامٍ سَبعُونَ ألْفَ مَلَكٍ يَجُرُّونَهَا} رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin Masûd  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Siku hiyo (ya Qiyama) utaletwa moto wa Jahannam ukiwa una hatamu elfu sabiini, katika kila hatamu muna Malaika sabiini elfu wanauburuta moto huo.”]  [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.