0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

370. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب زيارة أهل الخير ومجالستهم وصحبتهم ومحبتهم وطلب زيارتهم والدعاء منهم وزيارة المواضع الفاضلة


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه قَالَ: جاء رجلٌ إلى رَسُولِ الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: يَا رَسُول الله، كَيْفَ تَقُولُ في رَجُلٍ أَحَبَّ قَوْماً وَلَمْ يَلْحَقْ بِهِمْ؟ فَقَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {المَرْءُ مَعَ مَنْ أحَبَّ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâ bin Mas‘ûd Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Alikuja mtu kwa Mtume akauliza: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu wasemaje kuhusu mtu anaewapenda watu wala hawezi kufanya amali kama zao?” Mtume akamwambia: “Mtu atakuwa pamoja na ampendaye (Siku ya Qiyama).”   [Wameafikiana Bukhari na Muslim].


Begin typing your search above and press return to search.