0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

37. MLANGO WA MTU KUTOA AKIPENDACHO KATIKA VIZURI


باب الإنفاق مِمَّا يحبُّ ومن الجيِّد


قال اللَّه تعالى:  { لَنْ تَنَالُوا الْبِرَّ حَتَّى تُنْفِقُوا مِمَّا تُحِبُّونَ}  [ آل عمران:92 ]

 وَقالَ تَعَالَى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا أَنْفِقُوا مِنْ طَيِّبَاتِ مَا كَسَبْتُمْ وَمِمَّا أَخْرَجْنَا لَكُمْ مِنَ الأَرْضِ وَلا تَيَمَّمُوا الْخَبِيثَ مِنْهُ

تُنْفِقُونَ}  [ البقرة: 267]


شرح مقدمة الباب وحديث أنس رضي الله عنه مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان حفظه الله تعالى


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[KABISA HAMTAFIKIA wema mpaka mtoe katika vile mnavyo vipenda. ]        [Surat Al-‘Imran: 92]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Toeni katika vile vizuri mlivyo vichuma, na katika vile tulivyo kutoleeni katika ardhi. Wala msikusudie kutoa vilivyo vibaya,. ]        [Surat Al-Baqarah: 267]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.