July 6, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {دِينَارٌ أنْفَقْتَهُ في سَبيلِ اللهِ، وَدِينار أنْفَقْتَهُ في رَقَبَةٍ، وَدِينارٌ تَصَدَّقْتَ بِهِ عَلَى مِسْكِينٍ، وَدِينَارٌ أنْفَقْتَهُ عَلَى أهْلِكَ، أعْظَمُهَا أجْراً الَّذِي أنْفَقْتَهُ عَلَى أهْلِكَ} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume Amesema [Dinari uliyoitowa katika Njia ya Mwenyezi Mungu, dinari uliyoitoa katika kuacha mtumwa huru, dinari uliotoa sadaka kumpa masikini na dinari uliompa mkeo yenye ujira zaidi ni ile uliyompa mkeo] [Imepokewa na Muslim]