0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

999. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya kusoma Qur’ani


١٨٠- باب فضل قراءة القرآن


وعن ابن مسعودٍ رضيَ اللَّه عنهُ قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ قرأَ حرْفاً مِنْ كِتَابِ اللَّهِ فلَهُ حسنَةٌ، والحسنَةُ بِعشرِ أَمثَالِهَا لاَ أَقول: ألم حَرفٌ، وَلكِن: أَلِفٌ حرْفٌ، ولامٌ حرْفٌ، ومِيَمٌ حرْفٌ”        رواه الترمذي وقال: حديث حسن صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



180 – MLANGO: FADHILA ZA KUSOMA QUR’ÂNI


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd  ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesema: “Mtume ﷺ  amesema: “Anayesoma herufi moja katika Kitabu cha Allâh ana jema moja, na jema moja ni kwa kumi mfano wake. Sisemi: Alif Lâm Mîm kuwa ni herufi (moja). Lakini Alif ni herufi, Lâm ni herufi na Mîm ni herufi.”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.