0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

994. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya kusoma Qur’ani


١٨٠- باب فضل قراءة القرآن


وعن عائشة رضي اللَّه عنها قالتْ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “الَّذِي يَقرَأُ القُرْآنَ وَهُو ماهِرٌ بِهِ معَ السَّفَرةِ الكرَامِ البررَةِ، وَالَّذِي يقرَأُ القُرْآنَ ويتَتَعْتَعُ فِيهِ وَهُو عليهِ شَاقٌّ لَهُ أجْران”  متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



180 – MLANGO: FADHILA ZA KUSOMA QUR’ÂNI


Imepokewa kutoka kwa Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anayeisoma Qur’âni kwa uzuri, yuko pamoja na Malaika wema wanaotumwa kwa Mitume, na ambaye anaisoma Qur’âni na anataataa katika kuisoma na ulimi wake ni mzito, ana ujira mara mbili.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]

Begin typing your search above and press return to search.