May 11, 2025
0 Comments
باب استحباب القدوم عَلَى أهله نهاراً وكراهته في الليل لغير حاجة
وعن أنسٍ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: كانَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وسلَّمَ لا يطرُقُ أَهْلَهُ لَيْلاً، وَكَانَ يَأْتِيهمْ غُدْوةً أَوْ عشِيَّةً. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
176. MLANGO WA SUNNAH YA MTU KUWAENDEA FAMILIA YAKE MCHANA (ANAPOTOKA SAFARINI) NA UKARAHA WA KUWAENDEA USIKU PASINA DHARURA
Imepokewa na Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa hawabishii usiku familia yake. Alikuwa akiwaendea (kutoka safarini) mwanzo wa mchana au jioni.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].