0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

983. Riyadhu Swalihina Mlango wa Anayosema anapoteremka katika mashukio

باب مَا يقول إِذَا نزل منْزلاً


وعن ابن عمرو رَضي اللَّه عنهمَا قَالَ: كانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا سَافَرَ فَأَقبَلَ اللَّيْلُ قال” يَا أَرْضُ ربِّي وَربُّكِ اللَّه، أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنْ شرِّكِ وشَرِّ ما فِيكِ، وشر ماخُلقَ فيكِ، وشَرِّ ما يدِبُّ عليكِ، وأَعوذ باللَّهِ مِنْ شَرِّ أَسدٍ وَأَسْودٍ، ومِنَ الحيَّةِ والعقربِ، وَمِنْ سَاكِنِ البلَدِ، ومِنْ والِدٍ وَمَا وَلَد “      رواه أبو داود


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



174. MLANGO WA ANAYOSEMA ANAPOTEREMKA KATIKA MASHUKIO


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume alikuwa anaposafiri na usiku ukaingia, husema: “Yâ ardhu, rabbî warabbukillâh. A‘ûdhubillâhi min sharriki wa sharri mâ fîki wa sharri mâ khuliqa fîki wa sharri mâ yadibbu ‘alaiki. A‘ûdhubillâhi min sharri asadin wa aswad waminalhayyati wal‘aqrab wamin sâkinilbalad wamin wâlidin wamâ walad,” [Ee ardhi, Mola wangu na Mola wako ni Allâh, najikinga kwa Allâh kutokana na shari yako, shari ilioko ndani yako, shari iliyoumbiwa nawe na shari ya kinachotambaa juu yako. Najikinga kwa Allâh kutokana na shari ya simba na mwanadamu, nyoka na nge-kitumbo, shari ya majini na kutokana na shari ya ibilisi na alichokizaa (shetani).”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd.]


Begin typing your search above and press return to search.