0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

98. MLANGO WA SUNNAH YA KWENDA KATIKA SWALA YA IDI, KUMZURU MGONJWA, KWENDA HAJJ, KUPIGANA JIHADI, KUSINDIKIZA JENEZA NA MFANO WA HAYO, KWENDA KATIKA NJIA NYINGINE NA KURUDI KWA NJIA NYINGINE ILI KUZIDISHA SEHEMU ZA IBADA

باب استحباب الذهاب إِلَى العيد وعيادة المريض والحج والغزو والجنازة ونحوها من طريق، والرجوع من طريق آخر لتكثير مواضع العبادة

عن جابر – رضي الله عنه -، قَالَ: كَانَ النبي – صلى الله عليه وسلم – إِذَا كَانَ يومُ عيدٍ خَالَفَ الطَّريقَ

رواه البخاري

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

98. MLANGO WA SUNNAH YA KWENDA KATIKA SWALA YA IDI, KUMZURU MGONJWA, KWENDA HAJJ, KUPIGANA JIHADI, KUSINDIKIZA JENEZA NA MFANO WA HAYO, KWENDA KATIKA NJIA NYINGINE NA KURUDI KWA NJIA NYINGINE ILI KUZIDISHA SEHEMU ZA IBADA

Imepokewa na Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume (ﷺ) alikuwa akibadilisha njia siku ya idi.”   [ Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.