0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

978. Riyadhu Swalihina Mlango wa msafiri kupiga Takbiri unapopanda mlima na mfano wake na kuleta Tasbihi anapo teremka katika Bonde na mfano wake….

باب تكبير المسافر إِذَا صعد الثنايا وشبهها وتسبيحه إذا هبط الأودية ونحوهاوالنهي عن المبالغة برفع الصوتِ بالتكبير ونحوه


وعن أَبي هُريرةَ رضي اللَّهُ عنهُ أَنَّ رَجُلاً قَالَ: يَا رسول اللَّه، إنّي أُرِيدُ أَن أُسافِر فَأَوْصِنِي، قَالَ:”عَلَيْكَ بِتقوى اللَّهِ، وَالتَّكبير عَلى كلِّ شَرفٍ” فَلَمَّا ولَّي الرجُلُ قَالَ: “اللَّهمَّ اطْوِ لهُ البُعْدَ، وَهَوِّنْ عَليهِ السَّفر ”      رواه الترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



171. MLANGO WA MSAFIRI KUPIGA TAKBÎR ANAPOPANDA MILIMA NA MFANO WAKE NA KUSABIHI ANAPOTEREMKA KATIKA MABONDE NA MFANO WAKE, NA MAKATAZO YA KUNYANYUA SAUTI KWA TAKBÎR NA MFANO WAKE


Imepokewa na ‘Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtu mmoja alisema: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) mimi nataka kusafiri, niusie.” Akamwambia: “Jilazimu kumcha Allâh na kupiga Takbir juu ya kila mahala pa juu.” Yule mtu alipoenda zake, Mtume ﷺ aliomba: “Ewe Mola, Mkaribishie umbali na Umsahilishie safari.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

.


Begin typing your search above and press return to search.