باب تكبير المسافر إِذَا صعد الثنايا وشبهها وتسبيحه إذا هبط الأودية ونحوهاوالنهي عن المبالغة برفع الصوتِ بالتكبير ونحوه
وعن ابن عُمر رضي اللَّه عنهما قال: كانَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وجيُوشُهُ إِذا علَوُا الثَّنَايَا كَبَّرُوا، وَإذا هَبطُوا سَبَّحوا. رواه أَبُو داود بإسناد صحيح
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
171. MLANGO WA MSAFIRI KUPIGA TAKBÎR ANAPOPANDA MILIMA NA MFANO WAKE NA KUSABIHI ANAPOTEREMKA KATIKA MABONDE NA MFANO WAKE, NA MAKATAZO YA KUNYANYUA SAUTI KWA TAKBÎR NA MFANO WAKE
Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa yeye na majeshi yake wanapopanda milima, hupiga Takbîr, na wanapoteremka, hupiga Tasbihi.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]