0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

973. Riyadhu Swalihina Mlango wa Anayosema mtu wakati anapopanda mnyama wake wa safari

 باب ما يقوله إذا ركب الدابة للسفرِ


وعن عبد اللَّه بن سرْجِس رضي اللَّه عنه قَالَ: كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذا سَافَرَ يَتَعوَّذ مِن وعْثاءِ السفرِ، وكآبةِ المُنْقَلَبِ، والحوْرِ بعْد الكَوْنِ، ودعْوةِ المظْلُومِ. وسوءِ المنْظَر في الأهْلِ والمَال.    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



170. MLANGO WA ANAYOSEMA MTU WAKATI ANAPOMPANDA MNYAMA WAKE WA SAFARI


Imepokewa na ‘Abdullâh bin Sarjis ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa anaposafiri, hujikinga (kwa Allâh) kutokana na shida za safari, marejeo yenye kuhuzunisha, kurudi nyuma katika msimamo, dua ya aliedhulumiwa na kuona mandhari mabaya yenye kuhuzunisha katika familia na mali.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.