باب آداب السير والنزول والمبيت والنوم في السفر واستحباب السُّرَى والرفق بالدواب ومراعاة مصلحتها وجواز الإرداف عَلَى الدابة إِذَا كانت تطيق ذلك وأمر من قصّر في حقها بالقيام بحقها
وعن أَنسٍ رَضيَ اللَّهُ عنْهُ، قَالَ: كُنَّا إِذا نَزَلْنَا مَنْزِلاً، لاَ نسَبِّحُ حَتَّى نَحُلَّ الرِّحَالَ. رواه أَبُو داود بإِسناد عَلَى شرط مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
168. MLANGO WA NIDHAMU ZA MWENDO (SAFARINI), KUTEREMKIA, KULALA SAFARINI, NA SUNNAH YA KUSAFIRI USIKU, KUWATENDEA UPOLE WANYAMA, KUCHUNGA MASLAHI YAO, KUMUAMURU ANAYEKUSURU KATIKA HAKI YAO KUWAPA HAKI ZAO NA KUFAA KUMPANDISHA MTU NYUMA YA MNYAMA IWAPO MNYAMA YULE ATAWEZA KUWABEBA WOTE
Imepokewa kutoka Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Tulikuwa tunaposhukia mashukio yoyote, hatuswali Nafilah mpaka tuteremshe mizigo juu ya wanyama.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd ].
.