0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

964. Riyadhu Swalihina Mlango wa Nidhamu za mwendo (Safarini) kutermkia, kulala safarini,na Sunna ya kusafiri usaiku….

باب آداب السير والنزول والمبيت والنوم في السفر واستحباب السُّرَى والرفق بالدواب ومراعاة مصلحتها وجواز الإرداف عَلَى الدابة إِذَا كانت تطيق ذلك وأمر من قصّر في حقها بالقيام بحقها


وعنْ أَنسٍ رضي اللَّه عنهُ قَال: قَالَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:“عَلَيْكُمْ بِالْدُّلْجَةِ، فَإِنَّ الأَرْضَ تُطْوَى بِاللَّيلِ”      رواه أَبُو داود بإسناد حسن

“الدُّلجَة”السَّيْرُ في اللَّيْلِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



168. MLANGO WA NIDHAMU ZA MWENDO (SAFARINI), KUTEREMKIA, KULALA SAFARINI, NA SUNNAH YA KUSAFIRI USIKU, KUWATENDEA UPOLE WANYAMA, KUCHUNGA MASLAHI YAO, KUMUAMURU ANAYEKUSURU KATIKA HAKI YAO KUWAPA HAKI ZAO NA KUFAA KUMPANDISHA MTU NYUMA YA MNYAMA IWAPO MNYAMA YULE ATAWEZA KUWABEBA WOTE


Imepokewa kutoka Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “(Mnaposafiri) tembeeni usiku, kwani ardhi huwa inakunjwa nyakati za usiku.”      [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Hasan

Begin typing your search above and press return to search.