0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

966. Riyadhu Swalihina Mlango wa Nidhamu za mwendo (Safarini) kutermkia, kulala safarini,na Sunna ya kusafiri usaiku….

باب آداب السير والنزول والمبيت والنوم في السفر واستحباب السُّرَى والرفق بالدواب ومراعاة مصلحتها وجواز الإرداف عَلَى الدابة إِذَا كانت تطيق ذلك وأمر من قصّر في حقها بالقيام بحقها


وعَنْ سَهْلِ بنِ عمرو وَقيلَ سَهْلِ بن الرَّبيعِ بنِ عَمرو الأنْصَاريِّ المَعروفِ بابنِ الحنْظَليَّةِ، وهُو منْ أهْل بَيْعةِ الرِّضَوان، رضيَ اللَّه عنه قالَ: مرَّ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ببعِيرٍ قَدْ لَحِقَ ظَهْرُهُ ببطْنِهِ فَقَالَ: “اتَّقُوا اللَّه في هذِهِ البهَائمِ المُعْجمةِ فَارْكبُوها صَالِحَةً، وكُلُوها صالحَة”       رواه أَبُو داود بإسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



168. MLANGO WA NIDHAMU ZA MWENDO (SAFARINI), KUTEREMKIA, KULALA SAFARINI, NA SUNNAH YA KUSAFIRI USIKU, KUWATENDEA UPOLE WANYAMA, KUCHUNGA MASLAHI YAO, KUMUAMURU ANAYEKUSURU KATIKA HAKI YAO KUWAPA HAKI ZAO NA KUFAA KUMPANDISHA MTU NYUMA YA MNYAMA IWAPO MNYAMA YULE ATAWEZA KUWABEBA WOTE


Imepokewa kutoka Sahli bin ‘Amri – na pia anajulikana kwa jina Sahli bin Arrabî’ bin ‘Amri al-Ansâry ambaye ni maarufu kwa: Ibnul-Handhwalah, yeye ni miongoni mwa watu wa Bai‘aturridhwân ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ alipita akaona ngamia mgongo wake umeambatana na tumbo lake; akasema: “Mcheni Allâh katika hawa wanyama wasioweza kuzungumza, wapandeni wakiwa wazuri na muwale wakiwa wazuri.”        [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.