0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

961. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kusafiri siku ya kutafuta usuhuba (safarini) na kumueka kiongozi mtu watakaemtii

باب استحباب طلب الرفقة وتأميرهم عَلَى أنفسهم واحداً يطيعونه


 وعن ابْنِ عبَّاسٍ رضِي اللَّهُ عَنْهُما عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “خَيرُ الصَّحَابةِ أَرْبَعَةٌ، وَخَيْرُ السَّرايا أَرْبَعُمِائَةٍ، وخَيرُ الجُيُوش أَرْبعةُ آلافٍ، ولَن يُغْلَبَ اثْنَا عَشَرَ أَلْفاً منْ قِلَّة ”       رواه أَبُو داود والترمذي وقال: حديث حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



167. MLANGO WA SUNNAH YA KUTAFUTA USUHUBA (SAFARINI) NA KUMUEKA KIONGOZI MTU WATAKAYEMTII


Imepokewa na Abdullâh bin ‘Abbâs ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Usuhuba bora ni wa wat‘u wanne, kikosi bora ni cha watu mia nne na jeshi bora ni la watu elfu nne, wala hawatashindwa watu elfu kumi na mbili kwa sababu ya uchache.”   [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Begin typing your search above and press return to search.