April 16, 2025
0 Comments
باب استحباب طلب الرفقة وتأميرهم عَلَى أنفسهم واحداً يطيعونه
وعن أَبي سعيدٍ وأَبي هُريرةَ رضيَ اللَّهُ تَعَالَى عَنْهُمَا قَالا: قَال رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذا خَرَج ثَلاثَةٌ في سفَرٍ فليُؤَمِّرُوا أَحدهم” حديث حسن، رواه أَبُو داود بإسنادٍ حسن
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
167. MLANGO WA SUNNAH YA KUTAFUTA USUHUBA (SAFARINI) NA KUMUEKA KIONGOZI MTU WATAKAYEMTII
Imepokewa Abû Sa‘îd na Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) wamesema: “Mtume ﷺ amesema: “Watakaposafiri watu watatu safari yoyote, basi wamfanye mmoja wao kuwa kiongozi.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd, ameipokea kwa isnadi Hasan.]