0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

96. MLANGO WA KUMUAGA RAFIKI NA KUMUUSIA WAKATI WA KUAGANA NAYE KWA AJILI YA SAFARI NA KATIKA HALI NYENGINEZO, KUMUOMBEA DUA NA KUTAKA DUA KUTOKA KWAKE

باب وداع الصاحب ووصيته عند فراقه للسفر وغيره والدعاء لَهُ وطلب الدعاء مِنْهُ


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَوَصَّى بِهَا إبْرَاهِيمُ بَنِيهِ وَيَعْقُوبُ يَا بَنِيَّ إنَّ اللهَ اصْطَفَى لَكُمُ الدّينَ فَلاَ تَمُوتُنَّ إِلاَّ وَأَنْتُمْ مُسْلِمُونَ أَمْ كُنْتُمْ شُهَدَاءَ إذْ حَضَرَ يَعْقُوبَ المَوْتُ إذْ قَالَ لِبَنيهِ مَا تَعْبُدُونَ مِنْ بَعْدِي قَالُوا نَعْبُدُ إلهَكَ وَإلهَ آبَائِكَ إبْراهِيمَ وَإسْمَاعِيلَ وَإسْحاقَ إلهَاً وَاحِداً وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ﴾ [ البقرة: 132-133 ]


شرح مقدمة عن الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



96. MLANGO WA KUMUAGA RAFIKI NA KUMUUSIA WAKATI WA KUAGANA NAYE KWA AJILI YA SAFARI NA KATIKA HALI NYENGINEZO, KUMUOMBEA DUA NA KUTAKA DUA KUTOKA KWAKE


Mwenyezi Mungu Amesema:  “Na Ibrâhîm akawausia haya wanawe; na Yaakubu (pia akawausia wanawe): “Enyi wanangu! Hakika Allâh Amewachagulia Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa wanyenyekevu.” Je; (nyinyi Mayahudi na Manasara) mlikuwapo yalipomfika Yakubu mauti, alipowaambia wanawe: “Je, mtamuabudu nani baada yangu?” Wakasema: “Tutamuabudu Mola wako na Mola wa baba zako, Ibrâhîm na Ismaili na Is-haqa; Mungu Mmoja tu, na sisi tutanyenyekea Kwake.”   [2:132, 133].


Begin typing your search above and press return to search.