0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

959. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kusafiri siku ya kutafuta usuhuba (safarini) na kumueka kiongozi mtu watakaemtii

باب استحباب طلب الرفقة وتأميرهم عَلَى أنفسهم واحداً يطيعونه


وعن عمرِو بن شُعَيْبٍ، عن أَبيه، عن جَدِّهِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “الرَّاكِبُ شَيطَانٌ، والرَّاكِبان شَيطَانانِ، والثَّلاثَةُ رَكبٌ “


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



167. MLANGO WA SUNNAH YA KUTAFUTA USUHUBA (SAFARINI) NA KUMUEKA KIONGOZI MTU WATAKAYEMTII


Imepokewa Amru bin Shu‘aib amepokea kutoka kwa baba yake naye kwa babu yake ( Radhi za Allah ziwe juu yao )  amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Msafiri mmoja ni shetani, wasifiri wawili ni mashetani wawili, wasafiri watatu ndio msafara.”  [ Imepokewa na Abû Dâwûd, Tirmidhy, na an-Nasâ-î wameipokea kwa isnadi Sahîh, Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Hasan. ]  

Begin typing your search above and press return to search.