0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

957. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kusafiri siku ya Alkhamisi na mwanzo wa Mchana

باب استحباب الخروج يوم الخميس واستحبابه أول النهار


وعن صخْرِ بنِ وَدَاعَةَ الغامِدِيِّ الصَّحابيِّ رضي اللَّه عنْهُ، أَنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ:“اللَّهُمَّ بَارِكْ لأُمَّتي في بُكُورِها “وكَان إِذا بعثَ سَرِيَّةً أَوْ جَيْشَاً بعَثَهُم مِنْ أَوَّلِ النَّهَارِ وَكان صخْرٌ تَاجِراً، وَكَانَ يَبْعثُ تِجارتهُ أَوَّلَ النَّهار، فَأَثْرى وكَثُرَ مالُهُ.      رواه أَبو داود والترمذيُّ وَقالَ: حديثٌ حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



166 – MLANGO WA SUNNAH YA KUSAFIRI SIKU YA ALKHAMISI NA MWANZO WA MCHANA


Imepokewa kutoka kwa Sakhr bin Wadâ‘ah al-Ghâmidy ambaye ni Swahaba ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia kuwa Mtume aliomba: “Ewe Mola, Wabarikie umati wangu katika mwanzo wao wa mchana.” Alikuwa anapotuma kikosi au jeshi hulituma mwanzo wa mchana. Sakhri alikuwa ni mfanyi-biashara, basi akawa akipelekea biashara yake mwanzo wa mchana, akatajirika na mali yake yakazidi.”  [ Imepokewwa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]

Begin typing your search above and press return to search.