0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

949. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumtolea sadaka Maiti na kumuombea dua.

١٦٢- باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ


وعن أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللَّه عَنْهُ أنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا مَاتَ الإنسَانُ انقطَعَ عمَلُهُ إلاَّ مِنْ ثَلاثٍ: صَدقَةٍ جاريَةٍ، أوْ عِلم يُنْتَفَعُ بِهِ، أَوْ وَلَدٍ صَالحٍ يَدعُو لَهُ ”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA


Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mwanadamu akifa, amali yake hukatika ila kwa mambo matatu: sadaka inayoendelea, au ilimu inayonufaisha, au mtoto mwema anayemuombea dua.”     [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.