0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

949. Riyadhu Swalihina Mlango wa kumtolea Sadaka maiti na kumuombea Dua

 باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ


وعن أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللَّه عَنْهُ أنَّ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا مَاتَ الإنسَانُ انقطَعَ عمَلُهُ إلاَّ مِنْ ثَلاثٍ: صَدقَةٍ جاريَةٍ، أوْ عِلم يُنْتَفَعُ بِهِ، أَوْ وَلَدٍ صَالحٍ يَدعُو لَهُ ”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA


Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume amesema: “Mwanadamu akifa, amali yake hukatika ila kwa mambo matatu: sadaka inayoendelea, au ilimu inayonufaisha, au mtoto mwema anayemuombea dua.”    [ Imepokea na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.