February 3, 2025
0 Comments
١٦٢- باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ
وعَنْ عائِشَةَ رَضيَ اللَّهُ عَنْهَا أَنَّ رَجُلاً قَالَ للنَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إنَّ أُمِّي افتُلتَتْ نَفْسُهَا وَأُرَاهَا لَوْ تَكَلَّمَتْ، تَصَدَّقَتْ، فَهَل لهَا أَجْرٌ إنْ تصَدَّقْتُ عَنْهَا؟ قَالَ:“نَعَمْ “. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA
Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia kuwa mtu mmoja alimjia Mtume ﷺ akamwuliza: “Mama yangu amefariki, na nadhani lau angelizungumza angeliamuru itolewe sadaka, je atapata ujira nikimtolea sadaka?” Akamjibu: “Ndio.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].